Exodus 12:43 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu aliwaambia Mose na Aroni, “Yafuatayo ni maagizo juu ya adhimisho la Pasaka. Mgeni yeyote hatashiriki chakula cha Pasaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akawaambia Musa na Haruni, “Haya ndio masharti kwa ajili ya Pasaka: “Mgeni hataruhusiwa kula Pasaka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akawaambia Musa na Haruni, Amri ya pasaka ni hii; mtu mgeni asimle;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu aliwaambia Mose na Aroni, “Yafuatayo ni maagizo juu ya adhimisho la Pasaka. Mgeni yeyote hatashiriki chakula cha Pasaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akamwambia Mose na Aroni, “Haya ndiyo masharti kwa ajili ya Pasaka: “Mgeni hataruhusiwa kula Pasaka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akamwambia Musa na Haruni, “Haya ndiyo masharti kwa ajili ya Pasaka: “Mgeni hataruhusiwa kula Pasaka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akawaambia Musa na Haruni, Amri ya Pasaka ni hii; mtu mgeni asimle;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu aliwaambia Mose na Aroni, “Yafuatayo ni maagizo juu ya adhimisho la Pasaka. Mgeni yeyote hatashiriki chakula cha Pasaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamwambia Mose na Haroni: Haya ndiyo maongozi ya Pasaka: mtu asiye wa kwenu asiile!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akawaambia Musa na Haruni, Amri ya pasaka ni hii; mtu mgeni asimle;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akamwambia Musa na Haruni: “Haya ndiyo maagizo juu ya Pasaka. Mugeni yeyote hatashiriki chakula cha Pasaka.