Exodus 12:46 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanakondoo wa Pasaka ataliwa katika nyumba moja. Hamtatoa nyama yoyote nje ya nyumba alimochinjiwa, wala hamtavunja hata mfupa mmoja wa mnyama wa Pasaka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Sharti iliwe ndani ya nyumba; msichukue nyama yoyote nje ya nyumba hiyo. Msiuvunje mfupa wowote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na aliwe ndani ya nyumba moja; usiichukue nje ya nyumba nyama yake yo yote; wala msivunje mfupa wake uwao wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanakondoo wa Pasaka ataliwa katika nyumba moja. Hamtatoa nyama yoyote nje ya nyumba alimochinjiwa, wala hamtavunja hata mfupa mmoja wa mnyama wa Pasaka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Sharti iliwe ndani ya nyumba; msichukue nyama yo yote nje ya nyumba hiyo. Msiuvunje mfupa wo wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Sharti iliwe ndani ya nyumba; msichukue nyama yoyote nje ya nyumba hiyo. Msiuvunje mfupa wowote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na aliwe ndani ya nyumba moja; usiichukue nje ya nyumba nyama yake yoyote; wala msivunje mfupa wake uwao wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanakondoo wa Pasaka ataliwa katika nyumba moja. Hamtatoa nyama yoyote nje ya nyumba alimochinjiwa, wala hamtavunja hata mfupa mmoja wa mnyama wa Pasaka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sharti iliwe katika kila nyumba, lakini usitoe nyama yake yo yote mle nyumbani na kuipeleka nje, wala msimvunje mfupa wo wote!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na aliwe ndani ya nyumba moja; usiichukue nje ya nyumba nyama yake yo yote; wala msivunje mfupa wake uwao wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana-kondoo wa Pasaka atakuliwa katika nyumba moja. Hamutatoa nyama yoyote inje ya nyumba alimochinjiwa, wala hamutavunja hata mufupa mumoja wa nyama wa Pasaka.