Exodus 12:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwanakondoo huyo asiwe na kilema chochote, awe wa kiume na wa mwaka mmoja. Anaweza kuwa mwanakondoo au mwanambuzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wanyama mtakaowachagua, lazima wawe wa kiume wa umri wa mwaka mmoja wasiokuwa na dosari, mwaweza kuwachukua kati ya kondoo au mbuzi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwana-kondoo wenu atakuwa hana ila, mume wa mwaka mmoja; mtamtwaa katika kondoo au katika mbuzi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwanakondoo huyo asiwe na kilema chochote, awe wa kiume na wa mwaka mmoja. Anaweza kuwa mwanakondoo au mwanambuzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wanyama mtakaowachagua, lazima wawe wa kiume wa umri wa mwaka mmoja wasio kuwa na dosari, mwaweza kuwachukua kati ya kondoo au mbuzi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wanyama mtakaowachagua, lazima wawe wa kiume wa umri wa mwaka mmoja wasiokuwa na dosari, mwaweza kuwachukua kati ya kondoo au mbuzi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwana-kondoo wenu atakuwa hana dosari, dume wa mwaka mmoja; mtamtwaa katika kondoo au katika mbuzi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwanakondoo huyo asiwe na kilema chochote, awe wa kiume na wa mwaka mmoja. Anaweza kuwa mwanakondoo au mwanambuzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nanyi na mchukue mwana kondoo asiye na kilema, aliye wa kiume mwenye mwaka mmoja, akiwa mwana kondoo au mwana mbuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwana-kondoo wenu atakuwa hana ila, mume wa mwaka mmoja; mtamtwaa katika kondoo au katika mbuzi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana-kondoo yule asikuwe na kilema chochote, akuwe dume wa mwaka mumoja. Anaweza kuwa mwana-kondoo au mwana-mbuzi.