Exodus 12:50 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waisraeli wote walitii sheria hiyo na kufanya kama Mwenyezi-Mungu alivyowaagiza Mose na Aroni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wote walifanya kama vile Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa na Haruni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndivyo walivyofanya wana wa Israeli wote; kama Bwana alivyowaagiza Musa na Haruni, ndivyo walivyofanya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waisraeli wote walitii sheria hiyo na kufanya kama Mwenyezi-Mungu alivyowaagiza Mose na Aroni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wote walifanya kama vile BWANA alivyomwagiza Mose na Aroni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wote walifanya kama vile bwana alivyomwagiza Musa na Haruni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndivyo walivyofanya wana wa Israeli wote; kama BWANA alivyowaagiza Musa na Haruni, ndivyo walivyofanya.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waisraeli wote walitii sheria hiyo na kufanya kama Mwenyezi-Mungu alivyowaagiza Mose na Aroni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wa Isiraeli wote wakayafanya; kama Bwana alivyomwagiza Mose na Haroni, ndivyo, walivyofanya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndivyo walivyofanya wana wa Israeli wote; kama BWANA alivyowaagiza Musa na Haruni, ndivyo walivyofanya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waisraeli wote walitii sheria hiyo na kufanya kama vile Yawe alivyowaagiza Musa na Haruni.