Exodus 12:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtamweka mnyama huyo mpaka siku ya kumi na nne ya mwezi huu. Siku hiyo, jumuiya yote ya Waisraeli watawachinja wanyama hao wakati wa jioni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tunzeni wanyama hao hadi siku ya kumi na nne ya mwezi, ambapo lazima watu wa jumuiya yote ya Israeli wachinje wanyama hao wakati wa jioni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nanyi mtamweka hata siku ya kumi na nne ya mwezi ule ule; na kusanyiko lote la mkutano wa Israeli watamchinja jioni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtamweka mnyama huyo mpaka siku ya kumi na nne ya mwezi huu. Siku hiyo, jumuiya yote ya Waisraeli watawachinja wanyama hao wakati wa jioni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tunzeni wanyama hao mpaka siku ya kumi na nne ya mwezi, ambapo lazima watu wa jumuiya yote ya Israeli wachinje wanyama hao wakati wa jioni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tunzeni wanyama hao mpaka siku ya kumi na nne ya mwezi, ambapo lazima watu wa jumuiya yote ya Israeli wachinje wanyama hao wakati wa jioni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nanyi mtamweka hata siku ya kumi na nne ya mwezi ule ule; na kusanyiko lote la mkutano wa Israeli watamchinja jioni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtamweka mnyama huyo mpaka siku ya kumi na nne ya mwezi huu. Siku hiyo, jumuiya yote ya Waisraeli watawachinja wanyama hao wakati wa jioni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Na mwe naye na kumwangalia mpaka siku ya kumi na nne ya mwezi huu; ndipo watu wote pia wa mkutano wa Waisiraeli wamchinje saa za jioni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nanyi mtamweka hata siku ya kumi na nne ya mwezi ule ule; na kusanyiko lote la mkutano wa Israeli watamchinja jioni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutamuweka nyama yule mpaka siku ya kumi na ine ya mwezi huu. Siku hiyo, Waisraeli watawachinja nyama wale wakati wa magaribi.