Exodus 12:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha, watachukua damu ya hao wanyama na kupaka kwenye miimo na vizingiti vya kila nyumba watakamolia wanyama hao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo watakapochukua sehemu ya hiyo damu na kuipaka kwenye vizingiti vya juu, na miimo ya milango ya nyumba ambamo watakula wana-kondoo hao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao watatwaa baadhi ya damu yake na kuitia katika miimo miwili na katika kizingiti cha juu, katika zile nyumba watakazomla.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha, watachukua damu ya hao wanyama na kupaka kwenye miimo na vizingiti vya kila nyumba watakamolia wanyama hao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo watakapochukua baadhi ya hiyo damu na kuipaka kwenye vizingiti vya juu na miimo ya milango ya nyumba ambamo watakula wana-kondoo hao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo watakapochukua baadhi ya hiyo damu na kuipaka kwenye vizingiti vya juu na miimo ya milango ya nyumba ambamo watakula wana-kondoo hao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao watatwaa baadhi ya damu yake na kuitia katika miimo miwili na katika kizingiti cha juu, katika zile nyumba watakazomla.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha, watachukua damu ya hao wanyama na kupaka kwenye miimo na vizingiti vya kila nyumba watakamolia wanyama hao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo damu yake ya kutosha na wachukue ya kuipaka miimo yote miwili ya mlango na kizingiti cha juu katika hizo nyumba, watakamolia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao watatwaa baadhi ya damu yake na kuitia katika miimo miwili na katika kizingiti cha juu, katika zile nyumba watakazomla.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, watatwaa damu ya wale nyama na kuipakaa juu ya miimo na vizingiti vya kila nyumba watakamokulia nyama wale.