Exodus 12:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wataila nyama hiyo usiku huohuo baada ya kuichoma; wataila pamoja na mkate usiotiwa chachu na mboga chungu za majani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Usiku huo huo watakula nyama iliyookwa kwenye moto, pamoja na mboga chungu za majani na mikate isiyotiwa chachu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Watakula nyama yake usiku ule ule, imeokwa motoni, pamoja na mkate usiotiwa chachu; tena pamoja na mboga zenye uchungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wataila nyama hiyo usiku huohuo baada ya kuichoma; wataila pamoja na mkate usiotiwa chachu na mboga chungu za majani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Usiku huo huo watakula nyama iliyookwa kwenye moto, pamoja na mboga chungu za majani na mikate isiyotiwa chachu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Usiku huo huo watakula nyama iliyookwa kwenye moto, pamoja na mboga chungu za majani na mikate isiyotiwa chachu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Watakula nyama yake usiku ule ule, imeokwa motoni, pamoja na mkate usiotiwa chachu; tena pamoja na mboga zenye uchungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wataila nyama hiyo usiku huohuo baada ya kuichoma; wataila pamoja na mkate usiotiwa chachu na mboga chungu za majani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Usiku uleule na wazile nyama zake, nazo ziwe zimechomwa motoni. Na wazile pamoja na mikate isiyochachwa na pamoja na mboga chungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Watakula nyama yake usiku ule ule, imeokwa motoni, pamoja na mkate usiotiwa chachu; tena pamoja na mboga zenye uchungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakula nyama hiyo usiku uleule kisha kuichoma. Wataikula pamoja na mukate usiotiwa chachu na mboga chungu za majani.