Exodus 13:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kama hapo baadaye mwanao akiuliza maana ya jambo hili, utamwambia, ‘Kwa nguvu ya mkono wake, Mwenyezi-Mungu alitutoa nchini Misri ambako tulikuwa watumwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Katika siku zijazo, mwanao akikuuliza, ‘Hii ina maana gani?’ Mwambie, ‘Kwa mkono wenye nguvu Mwenyezi Mungu alitutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kisha itakuwa hapo mwanao atakapokuuliza keshoni, akisema, Ni nini hivi? Utamwambia, Bwana alimtoa Misri, kutoka ile nyumba ya utumwa, kwa uwezo wa mkono wake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kama hapo baadaye mwanao akiuliza maana ya jambo hili, utamwambia, ‘Kwa nguvu ya mkono wake, Mwenyezi-Mungu alitutoa nchini Misri ambako tulikuwa watumwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Katika siku zijazo, mwanao akikuuliza, ‘Hii ina maana gani?’ Mwambie, ‘Kwa mkono wenye nguvu BWANA alitutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Katika siku zijazo, mwanao akikuuliza, ‘Hii ina maana gani?’ Mwambie, ‘Kwa mkono wenye nguvu bwana alitutoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kisha itakuwa hapo mwanao atakapokuuliza kesho, akisema, Ni nini hivi? Utamwambia, BWANA alimtoa Misri, kutoka ile nyumba ya utumwa, kwa uwezo wa mkono wake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kama hapo baadaye mwanao akiuliza maana ya jambo hili, utamwambia, ‘Kwa nguvu ya mkono wake, Mwenyezi-Mungu alitutoa nchini Misri ambako tulikuwa watumwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena kama mwanao atakuuliza kesho kwamba: Haya maana yake nini? utamwambia: Bwana alitutoa kwa mkono wenye uwezo kule Misri nyumbani, tulimokuwa watumwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kisha itakuwa hapo mwanao atakapokuuliza keshoni, akisema, Ni nini hivi? Utamwambia, BWANA alimtoa Misri, kutoka ile nyumba ya utumwa, kwa uwezo wa mkono wake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kama kisha mwana wako akiuliza maana ya jambo hili, utamwambia: ‘Kwa nguvu ya mukono wake, Yawe alitutoa katika inchi ya Misri ambako tulikuwa watumwa.