Exodus 13:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jambo hili litakuwa kama alama mkononi mwako au utepe katika paji la uso wako, kwamba Mwenyezi-Mungu alitutoa nchini Misri kwa mkono wenye nguvu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Jambo hili litakuwa kama ishara kwenye mkono wako na kama alama kwenye paji la uso wako, kwamba Mwenyezi Mungu alikutoa katika nchi ya Misri kwa mkono wake wenye nguvu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Jambo hilo litakuwa ni ishara mkononi mwako, na utepe katikati ya macho yako; kwa kuwa Bwana alitutoa Misri kwa uwezo wa mkono wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jambo hili litakuwa kama alama mkononi mwako au utepe katika paji la uso wako, kwamba Mwenyezi-Mungu alitutoa nchini Misri kwa mkono wenye nguvu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Jambo hili litakuwa kama ishara kwenye mkono wako na kama alama kwenye paji la uso wako, kwamba BWANA alikutoa katika nchi ya Misri kwa mkono wake wenye nguvu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Jambo hili litakuwa kama ishara kwenye mkono wako na kama alama kwenye paji la uso wako, kwamba bwana alikutoa katika nchi ya Misri kwa mkono wake wenye nguvu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Jambo hilo litakuwa ni ishara mkononi mwako, na utepe katikati ya macho yako; kwa kuwa BWANA alitutoa Misri kwa uwezo wa mkono wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jambo hili litakuwa kama alama mkononi mwako au utepe katika paji la uso wako, kwamba Mwenyezi-Mungu alitutoa nchini Misri kwa mkono wenye nguvu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Haya na yawe kielekezo mkononi pako, yafungwe napo pajini pako katikati ya macho yako! Kwani Bwana alitutoa Misri kwa uwezo wa mkono wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Jambo hilo litakuwa ni ishara mkononi mwako, na utepe katikati ya macho yako; kwa kuwa BWANA alitutoa Misri kwa uwezo wa mkono wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jambo hili litakuwa kama kitambulisho katika mukono wako au utepe katika paji la uso wako, kwamba Yawe alitutoa katika inchi ya Misri kwa mukono wenye nguvu.”