Exodus 13:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa muda wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu, na mnamo siku ya saba mtafanya sikukuu kwa heshima ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa siku saba utakula mikate isiyotiwa chachu na katika siku ya saba utamfanyia Mwenyezi Mungu sikukuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mtakula mikate isiyochachwa muda wa siku saba, nayo siku ya saba itakuwa ni sikukuu ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa muda wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu, na mnamo siku ya saba mtafanya sikukuu kwa heshima ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa siku saba utakula mikate isiyotiwa chachu na katika siku ya saba utamfanyia BWANA sikukuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa siku saba utakula mikate isiyotiwa chachu na katika siku ya saba utamfanyia bwana sikukuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mtakula mikate isiyochachwa muda wa siku saba, nayo siku ya saba itakuwa ni sikukuu ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa muda wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu, na mnamo siku ya saba mtafanya sikukuu kwa heshima ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku saba ule mikate isiyochachwa, nayo siku ya saba iwe ya sikukuu yenyewe!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mtakula mikate isiyochachwa muda wa siku saba, nayo siku ya saba itakuwa ni sikukuu ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa muda wa siku saba mutakula mikate isiyotiwa chachu, na katika siku ya saba mutafanya sikukuu kwa heshima ya Yawe.