Exodus 13:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa muda huo wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu. Kusiwepo na mikate iliyotiwa chachu, wala chachu yoyote miongoni mwenu na katika nchi yenu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa muda wa siku saba utakula mikate isiyotiwa chachu, pasionekane kitu chochote kilicho na chachu miongoni mwako, wala chachu yoyote isionekane popote ndani ya mipaka yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mikate isiyochachwa italiwa katika hizo siku saba; mkate uliotiwa chachu usionekane kwako, wala chachu isionekane kwako, ndani ya mipaka yako yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa muda huo wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu. Kusiwepo na mikate iliyotiwa chachu, wala chachu yoyote miongoni mwenu na katika nchi yenu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa muda wa siku saba utakula mikate isiyotiwa chachu, pasionekane kitu cho chote kilicho na chachu miongoni mwako, wala chachu yo yote isionekane po pote ndani ya mipaka yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa muda wa siku saba utakula mikate isiyotiwa chachu, pasionekane kitu chochote kilicho na chachu miongoni mwako, wala chachu yoyote isionekane popote ndani ya mipaka yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mikate isiyochachwa italiwa katika hizo siku saba; mkate uliotiwa chachu usionekane kwako, wala chachu isionekane kwako, ndani ya mipaka yako yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa muda huo wa siku saba mtakula mikate isiyotiwa chachu. Kusiwepo na mikate iliyotiwa chachu, wala chachu yoyote miongoni mwenu na katika nchi yenu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mikate isiyochachwa iliwe siku saba, isionekane kwako wala mikate iliyochachwa wala chachu yo yote katika mipaka yako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mikate isiyochachwa italiwa katika hizo siku saba; mkate uliotiwa chachu usionekane kwako, wala chachu isionekane kwako, ndani ya mipaka yako yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa muda ule wa siku saba mutakula mikate isiyotiwa chachu. Kusikuwe mikate iliyotiwa chachu, wala chachu yoyote kati yenu na katika inchi yenu yote.