Exodus 13:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Siku hiyo mtawaambia watoto wenu kwamba mnafanya hivyo kwa sababu ya jambo alilowafanyia Mwenyezi-Mungu mlipoondoka nchini Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku ile utamwambia mwanao, ‘Nafanya hivi kwa sababu ya jambo ambalo Mwenyezi Mungu alinitendea nilipotoka katika nchi ya Misri.’
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawe utamwambia mwanao siku hiyo, ukisema, Ni kwa sababu ya hayo Bwana aliyonifanyia hapo nilipotoka Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Siku hiyo mtawaambia watoto wenu kwamba mnafanya hivyo kwa sababu ya jambo alilowafanyia Mwenyezi-Mungu mlipoondoka nchini Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku ile utamwambia mwanao, ‘Nafanya hivi kwa sababu ya jambo ambalo BWANA alinitendea nilipotoka katika nchi ya Misri.’
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku ile utamwambia mwanao, ‘Nafanya hivi kwa sababu ya jambo ambalo bwana alinitendea nilipotoka katika nchi ya Misri.’
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawe utamwambia mwanao siku hiyo, ukisema, Ni kwa sababu ya hayo BWANA aliyonifanyia hapo nilipotoka Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Siku hiyo mtawaambia watoto wenu kwamba mnafanya hivyo kwa sababu ya jambo alilowafanyia Mwenyezi-Mungu mlipoondoka nchini Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wanao na uwaeleze siku hiyo kwamba: Ni kwa kuwa Bwana alitufanyia haya na haya, tulipotoka kule Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawe utamwambia mwanao siku hiyo, ukisema, Ni kwa sababu ya hayo BWANA aliyonifanyia hapo nilipotoka Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Siku hiyo mutawaambia watoto wenu kwamba munafanya hivyo kwa sababu ya jambo Yawe alilowafanyia mulipoondoka katika inchi ya Misri.