Exodus 13:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Adhimisho hilo litakuwa ukumbusho, kama alama katika mikono yenu au katika paji la nyuso zenu; ili iwakumbushe daima sheria ya Mwenyezi-Mungu. Maana, Mwenyezi-Mungu amewatoa nchini Misri kwa mkono wenye nguvu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adhimisho hili, litakuwa kama alama kwenye mkono wako na ukumbusho katika paji lako la uso, kwamba sheria ya Mwenyezi Mungu inapaswa iwe kinywani mwako. Kwa kuwa Mwenyezi Mungu alikutoa katika nchi ya Misri kwa mkono wake wenye nguvu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo itakuwa ishara kwako katika mkono wako, na kwa ukumbusho kati ya macho yako, ili kwamba sheria ya Bwana ipate kuwa kinywani mwako; kwani Bwana alikutoa utoke Misri kwa mkono wenye uwezo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Adhimisho hilo litakuwa ukumbusho, kama alama katika mikono yenu au katika paji la nyuso zenu; ili iwakumbushe daima sheria ya Mwenyezi-Mungu. Maana, Mwenyezi-Mungu amewatoa nchini Misri kwa mkono wenye nguvu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adhimisho hili, litakuwa kama alama kwenye mkono wako na ukumbusho katika paji lako la uso, kwamba sheria ya BWANA inapaswa iwe kinywani mwako. Kwa kuwa BWANA alikutoa katika nchi ya Misri kwa mkono wake wenye nguvu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adhimisho hili litakuwa kama alama kwenye mkono wako na ukumbusho katika paji lako la uso, kwamba sheria ya bwana inapaswa iwe kinywani mwako. Kwa kuwa bwana alikutoa katika nchi ya Misri kwa mkono wake wenye nguvu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo itakuwa ishara kwako katika mkono wako, na kwa ukumbusho kati ya macho yako, ili kwamba sheria ya BWANA ipate kuwa kinywani mwako; kwani BWANA alikuondoa utoke Misri kwa mkono wenye uwezo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Adhimisho hilo litakuwa ukumbusho, kama alama katika mikono yenu au katika paji la nyuso zenu; ili iwakumbushe daima sheria ya Mwenyezi-Mungu. Maana, Mwenyezi-Mungu amewatoa nchini Misri kwa mkono wenye nguvu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo sharti yawe kwako kielekezo mkononi pako na ukumbusho katikati ya macho yako, Maonyo ya Bwana yapate kuwa kinywani mwako, kwani Bwana amekutoa huko Misri kwa mkono wenye uwezo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo itakuwa ishara kwako katika mkono wako, na kwa ukumbusho kati ya macho yako, ili kwamba sheria ya BWANA ipate kuwa kinywani mwako; kwani BWANA alikutoa utoke Misri kwa mkono wenye uwezo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na mambo haya yatakuwa ukumbusho, kama vile kitambulisho katika mikono yenu au katika paji la nyuso zenu; kusudi kiwakumbushe siku zote sheria ya Yawe. Maana, Yawe amewatoa katika inchi ya Misri kwa mukono wenye nguvu.