Exodus 14:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakamwambia Mose, “Je, hapakuwa na makaburi ya kutosha nchini Misri hata ukatuleta tufie huku jangwani? Mbona umetutendea haya, kwa tututoa katika nchi ya Misri?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamwambia Musa, “Je, ni kwamba hakukuwa na makaburi huko Misri hata umetuleta tufe huku jangwani? Umetufanyia nini kututoa Misri?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakamwambia Musa, Je! Kwa sababu hapakuwa na makaburi katika Misri umetutoa huko ili tufe jangwani? Mbona umetutendea haya, kututoa katika nchi ya Misri?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakamwambia Mose, “Je, hapakuwa na makaburi ya kutosha nchini Misri hata ukatuleta tufie huku jangwani? Mbona umetutendea haya, kwa tututoa katika nchi ya Misri?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwambia Mose, “Je, ni kwamba hayakuweko makaburi huko Misri hata umetuleta tufe huku jangwani? Umetufanyia nini kututoa Misri?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamwambia Musa, “Je, ni kwamba hayakuwako makaburi huko Misri hata umetuleta tufe huku jangwani? Umetufanyia nini kututoa Misri?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakamwambia Musa, Je! Kwa sababu hapakuwa na makaburi katika Misri umetutoa huko ili tufe jangwani? Mbona umetutendea haya, kututoa katika nchi ya Misri?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakamwambia Mose, “Je, hapakuwa na makaburi ya kutosha nchini Misri hata ukatuleta tufie huku jangwani? Mbona umetutendea haya, kwa tututoa katika nchi ya Misri?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Mose wakamwambia: Kumbe kule Misri hakuna makaburi, ukituchukua, tujifie huku nyikani? Ni kwa sababu gani ukitufanyizia haya kwa kututoa Misri?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakamwambia Musa, Je! Kwa sababu hapakuwa na makaburi katika Misri umetutoa huko ili tufe jangwani? Mbona umetutendea haya, kututoa katika nchi ya Misri?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakamwambia Musa: “Hakukuwa makaburi ya kutosha katika inchi ya Misri hata ukatuleta tukufie huku katika jangwa? Kwa nini umetufanya tutoke katika inchi ya Misri?