Exodus 14:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akawajibu Waisraeli, “Msiogope. Simameni imara, nanyi mtauona wokovu Mwenyezi Mungu atakaowapatia leo. Hao Wamisri mnaowaona leo kamwe hamtawaona tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akawajibu Waisraeli, “Msiogope. Simameni imara, nanyi mtauona wokovu BWANA atakaowapatia leo. Hao Wamisri mnaowaona leo kamwe hamtawaona tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akawajibu Waisraeli, “Msiogope. Simameni imara, nanyi mtauona wokovu bwana atakaowapatia leo. Hao Wamisri mnaowaona leo kamwe hamtawaona tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akawaambia Waisraeli, “Msiogope! Kaeni imara! Leo mtaona jinsi Mwenyezi-Mungu atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri mnaowaona leo, hamtawaona tena.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini Mose akawaambia hao watu: Msiogope! Jipeni mioyo! Ndipo, mtakapouona wokovu wa Bwana, atakaowapatia leo; kwani hawa Wamisri, mnaowaona leo, hamtawaona tena kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa BWANA atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akawaambia Waisraeli: “Musiogope! Musimame imara! Leo mutaona jinsi Yawe atakavyowaokoa. Maana, hawa Wamisri munaowaona leo, hamutawaona tena.