Exodus 14:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Waambie Waisraeli warudi nyuma, wapige kambi mbele ya Pi-hahirothi, kati ya mji wa Migdoli na bahari ya Shamu, mbele ya Baal-sefoni. Mtapiga kambi mbele yake karibu na bahari.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Waambie Waisraeli wageuke nyuma na wapige kambi karibu na Pi-Hahirothi, kati ya Migdoli na bahari. Watapiga kambi kando ya bahari, mkabala na Baal-Sefoni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Waambie wana wa Israeli, kwamba warudi na kupiga kambi yao mbele ya Pi-hahirothi, kati ya Migdoli na bahari, kukabili Baal-sefoni; mtapanga mbele yake karibu na bahari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Waambie Waisraeli warudi nyuma, wapige kambi mbele ya Pi-hahirothi, kati ya mji wa Migdoli na bahari ya Shamu, mbele ya Baal-sefoni. Mtapiga kambi mbele yake karibu na bahari.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Waambie Waisraeli wageuke nyuma na wapige kambi karibu na Pi-Hahirothi, kati ya Migdoli na bahari. Watapiga kambi kando ya bahari, mkabala na Baal-Sefoni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Waambie Waisraeli wageuke nyuma na wapige kambi karibu na Pi-Hahirothi, kati ya Migdoli na bahari. Watapiga kambi kando ya bahari, mkabala na Baal-Sefoni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Waambie wana wa Israeli, kwamba warudi na kupiga kambi yao mbele ya Pi-hahirothi, kati ya Migdoli na bahari, kukabili Baal-sefoni; mtapanga mbele yake karibu na bahari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Waambie Waisraeli warudi nyuma, wapige kambi mbele ya Pi-hahirothi, kati ya mji wa Migdoli na bahari ya Shamu, mbele ya Baal-sefoni. Mtapiga kambi mbele yake karibu na bahari.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waambie wana wa Isiraeli, warudi, wapige makambi ya kuelekea Pi-Hahiroti katikati ya Migidoli na baharini; hapo panapoelekea Baali-Sefoni ndipo, mpige makambi karibu ya baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Waambie wana wa Israeli, kwamba warudi na kupiga kambi yao mbele ya Pi-hahirothi, kati ya Migdoli na bahari, kukabili Baal-sefoni; mtapanga mbele yake karibu na bahari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Uwaambie Waisraeli warudi nyuma, wapige kambi mbele ya Pi-Hahiroti, kati ya muji wa Migdoli na bahari Nyekundu, mbele ya Bali-Sefoni. Mutapiga kambi mbele yake karibu na bahari.