Exodus 14:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wamisri wakawafuata kwa kupitia nchi kavu iliyokuwa katikati ya bahari pamoja na farasi wao, magari yao ya vita na wapandafarasi wao wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wamisri wakawafuatia ndani ya bahari, pamoja na farasi wote wa Farao, magari ya vita na wapanda farasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na wale Wamisri wakawafuatia, wakaingia ndani kati ya bahari, farasi zote za Farao, na magari yake, na wapanda farasi wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wamisri wakawafuata kwa kupitia nchi kavu iliyokuwa katikati ya bahari pamoja na farasi wao, magari yao ya vita na wapandafarasi wao wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wamisri wakawafuatia ndani ya bahari, pamoja na farasi wote wa Farao, magari ya vita na wapanda farasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wamisri wakawafuatia ndani ya bahari, pamoja na farasi wote wa Farao, magari ya vita na wapanda farasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na wale Wamisri wakawafuata, wakaingia ndani kati ya bahari, farasi wote wa Farao, na magari yake, na wapanda farasi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wamisri wakawafuata kwa kupitia nchi kavu iliyokuwa katikati ya bahari pamoja na farasi wao, magari yao ya vita na wapandafarasi wao wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wamisri wakawafuata mbiombio, farasi wa Farao na magari yake nao walioyapanda, wote pia wakaingia nyuma yao humo katikati ya bahari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na wale Wamisri wakawafuatia, wakaingia ndani kati ya bahari, farasi zote za Farao, na magari yake, na wapanda farasi wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wamisri wakawafuata kwa kupitia inchi kavu iliyokuwa katikati ya bahari pamoja na farasi wao, magari yao ya vita na wapanda-farasi wao wote.