Exodus 14:24 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Karibu na mapambazuko, Mwenyezi-Mungu aliliangalia jeshi la Wamisri kutoka katika ule mnara wa moto na ule mnara wa wingu, akalitia hofu kubwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kukaribia mapambazuko, Mwenyezi Mungu akaliangalia jeshi la Wamisri kutoka ile nguzo ya moto na ya wingu, akalifadhaisha.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa katika zamu ya alfajiri, Bwana akalichungulia jeshi la Wamisri katika ile nguzo ya moto na ya wingu, akalifadhaisha jeshi la Wamisri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Karibu na mapambazuko, Mwenyezi-Mungu aliliangalia jeshi la Wamisri kutoka katika ule mnara wa moto na ule mnara wa wingu, akalitia hofu kubwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Karibia mapambazuko, BWANA akaliangalia jeshi la Wamisri kutoka katika ile nguzo ya moto na ya wingu, akalifadhaisha.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Karibia mapambazuko, bwana akaliangalia jeshi la Wamisri kutoka ile nguzo ya moto na ya wingu, akalifadhaisha.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa katika zamu ya alfajiri, BWANA akalichungulia jeshi la Wamisri katika ile nguzo ya moto na ya wingu, akalifadhaisha jeshi la Wamisri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Karibu na mapambazuko, Mwenyezi-Mungu aliliangalia jeshi la Wamisri kutoka katika ule mnara wa moto na ule mnara wa wingu, akalitia hofu kubwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Asubuhi kulipopambazuka, Bwana akavichungulia vikosi vya Wamisri toka lile wingu lenye moto na giza, akavistusha vikosi vya Wamisri
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa katika zamu ya alfajiri, BWANA akalichungulia jeshi la Wamisri katika ile nguzo ya moto na ya wingu, akalifadhaisha jeshi la Wamisri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Karibu na mapambazuko, Yawe akaangalia jeshi la Wamisri kutoka katika ule munara wa moto na ule munara wa wingu, akalitia hofu kubwa.