Exodus 14:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Alichukua magari yake bora ya vita 600 na magari yote mengine ya kivita ya Misri yakiongozwa na maofisa wa kijeshi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Akachukua magari ya vita mia sita bora, pamoja na magari ya vita mengine yote ya Misri, pamoja na maafisa wa magari hayo yote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
tena akatwaa magari mia sita yaliyochaguliwa, na magari yote ya Wamisri, na maakida juu ya magari hayo yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Alichukua magari yake bora ya vita 600 na magari yote mengine ya kivita ya Misri yakiongozwa na maofisa wa kijeshi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Akachukua magari bora mia sita, pamoja na magari mengine yote ya Misri, pamoja na maafisa wa magari hayo yote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Akachukua magari bora mia sita, pamoja na magari mengine yote ya Misri, pamoja na maafisa wa magari hayo yote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
tena akatwaa magari mia sita yaliyochaguliwa, na magari yote ya Wamisri, na maofisa wa kijeshi juu ya magari hayo yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Alichukua magari yake bora ya vita 600 na magari yote mengine ya kivita ya Misri yakiongozwa na maofisa wa kijeshi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
tena akachukua magari ya vita 600 yaliyochaguliwa na magari yote yaliyopatikana huko Misri, nao wakuu, aliowatia katika kila gari lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
tena akatwaa magari mia sita yaliyochaguliwa, na magari yote ya Wamisri, na maakida juu ya magari hayo yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Alitwaa magari yake bora ya vita mia sita na magari yote mengine ya kivita ya Misri yakiongozwa na wakubwa wa kijeshi.