Exodus 15:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo, Mose pamoja na Waisraeli wakamwimbia Mwenyezi-Mungu wimbo huu, “Nitamwimbia Mwenyezi-Mungu kwani ameshinda kwa fahari, farasi na mpandafarasi wake amewatosa baharini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndipo Musa na Waisraeli wakamwimbia Mwenyezi Mungu wimbo huu: “Nitamwimbia Mwenyezi Mungu, kwa kuwa ametukuzwa sana. Farasi na mpanda farasi amewatosa baharini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Musa na wana wa Israeli wakamwimbia Bwana wimbo huu wakanena, na kusema, Nitamwimbia Bwana, kwa maana ametukuka sana; Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo, Mose pamoja na Waisraeli wakamwimbia Mwenyezi-Mungu wimbo huu, “Nitamwimbia Mwenyezi-Mungu kwani ameshinda kwa fahari, farasi na mpandafarasi wake amewatosa baharini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndipo Mose na Waisraeli wakamwimbia BWANA wimbo huu: “Nitamwimbia BWANA, kwa kuwa ametukuzwa sana. Farasi na mpanda farasi amewatosa baharini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndipo Musa na Waisraeli wakamwimbia bwana wimbo huu: “Nitamwimbia bwana, kwa kuwa ametukuzwa sana. Farasi na mpanda farasi amewatosa baharini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Musa na wana wa Israeli wakamwimbia BWANA wimbo huu wakanena, na kusema, Nitamwimbia BWANA, kwa maana ametukuka sana; Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo, Mose pamoja na Waisraeli wakamwimbia Mwenyezi-Mungu wimbo huu, “Nitamwimbia Mwenyezi-Mungu kwani ameshinda kwa fahari, farasi na mpandafarasi wake amewatosa baharini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hapo ndipo, Mose na wana wana Isiraeli walipomwimbia Bwana wimbo huu, wakasema kwamba: Na nimwimbie Bwana! Kwani ni mtukufu mno, Farasi pamoja nao waliowapanda amewatosa baharini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Musa na wana wa Israeli wakamwimbia BWANA wimbo huu wakanena, na kusema, Nitamwimbia BWANA, kwa maana ametukuka sana; Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha, Musa pamoja na Waisraeli wakamwimbia Yawe wimbo huu: “Nitamwimbia Yawe, maana ameshinda kwa utukufu; farasi na mupanda-farasi wake amewatupa katika bahari.