Exodus 15:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uliunyosha mkono wako wa kulia, nayo nchi ikawameza maadui zetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
“Uliunyoosha mkono wako wa kuume na nchi ikawameza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ulinyosha mkono wako wa kuume, Nchi ikawameza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uliunyosha mkono wako wa kulia, nayo nchi ikawameza maadui zetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uliunyosha mkono wako wa kuume na nchi ikawameza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uliunyoosha mkono wako wa kuume na nchi ikawameza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ulinyosha mkono wako wa kulia, Nchi ikawameza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uliunyosha mkono wako wa kulia, nayo nchi ikawameza maadui zetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ulipoukunjua mkono wako wa kuume, nchi ikawameza.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ulinyosha mkono wako wa kuume, Nchi ikawameza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ulinyoosha mukono wako wa kuume, nayo inchi ikawameza waadui zetu.