Exodus 15:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wa mataifa wamesikia hayo wakatetemeka; wakazi wa Filistia wamekumbwa na kitisho.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mataifa watasikia na kutetemeka, uchungu utawakamata Wafilisti.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kabila za watu wamesikia, wanatetemeka, Wakaao Ufilisti utungu umewashika.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wa mataifa wamesikia hayo wakatetemeka; wakazi wa Filistia wamekumbwa na kitisho.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mataifa watasikia na kutetemeka, uchungu utawakamata watu wa Ufilisti.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mataifa watasikia na kutetemeka, uchungu utawakamata watu wa Ufilisti.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Makabila ya watu wamesikia, wanatetemeka, Wakazi wa Ufilisti uchungu umewashika.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wa mataifa wamesikia hayo wakatetemeka; wakazi wa Filistia wamekumbwa na kitisho.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Makabila ya watu walipovisikia wakatetemeka; uchungu ukawapata wenyeji wa Ufilisti.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kabila za watu wamesikia, wanatetemeka, Wakaao Ufilisti utungu umewashika.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wa mataifa wamesikia hayo wakatetemeka; Wafilistini wamepatwa na kitisho.