Exodus 15:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kitisho na hofu vimewavamia. Kwa sababu ya ukuu wa nguvu zako, wao wamenyamaza kimya kama jiwe, mpaka watu wako ee Mwenyezi-Mungu, wapite, naam, mpaka watu hao uliowakomboa wamewapita.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
vitisho na hofu vitawaangukia. Kwa nguvu ya mkono wako watatulia kama jiwe, hadi watu wako wapite, Ee Mwenyezi Mungu, hadi watu uliowanunua wapite.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hofu na woga umewaangukia; Kwa uweza wa mkono wako wanakaa kimya kama jiwe; Hata watakapovuka watu wako, Ee Bwana, Hata watakapovuka watu wako uliowanunua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kitisho na hofu vimewavamia. Kwa sababu ya ukuu wa nguvu zako, wao wamenyamaza kimya kama jiwe, mpaka watu wako ee Mwenyezi-Mungu, wapite, naam, mpaka watu hao uliowakomboa wamewapita.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
vitisho na hofu vitawaangukia. Kwa nguvu ya mkono wako watatulia kama jiwe, mpaka watu wako waishe kupita, Ee BWANA, mpaka watu uliowanunua wapite.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
vitisho na hofu vitawaangukia. Kwa nguvu ya mkono wako watatulia kama jiwe, mpaka watu wako waishe kupita, Ee bwana, mpaka watu uliowanunua wapite.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hofu na woga zimewaangukia; Kwa uweza wa mkono wako wanakaa kimya kama jiwe; Hata watakapovuka watu wako, Ee BWANA, Hata watakapovuka watu wako uliowanunua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kitisho na hofu vimewavamia. Kwa sababu ya ukuu wa nguvu zako, wao wamenyamaza kimya kama jiwe, mpaka watu wako ee Mwenyezi-Mungu, wapite, naam, mpaka watu hao uliowakomboa wamewapita.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakanyamaza kimya kama mawe kwa ukuu wa mkono wako, mpaka wapite wao walio ukoo wako, Bwana, mpaka wapite wao wa ukoo huo, uliowakomboa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hofu na woga umewaangukia; Kwa uweza wa mkono wako wanakaa kimya kama jiwe; Hata watakapovuka watu wako, Ee BWANA, Hata watakapovuka watu wako uliowanunua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kitisho na hofu vimewashika. Kwa sababu ya ukubwa wa nguvu zako, wao wamenyamaza kimya kama jiwe, mpaka watu wako, ee Yawe, wapite, mpaka watu wale uliowakomboa wamewapita.