Exodus 15:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe utawaleta watu wako na kuwapanda mlimani pako; pale ulipochagua ee Mwenyezi-Mungu pawe makao yako, mahali patakatifu ee Mwenyezi-Mungu ulipojenga kwa mikono yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utawaingiza na kuwapandikiza juu ya mlima wa urithi wako: hapo mahali, Ee Mwenyezi Mungu, ulipopafanya kuwa makao yako, mahali patakatifu, Ee Mwenyezi Mungu, ulipopajenga kwa mikono yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utawaingiza, na kuwapanda katika mlima wa urithi wako, Mahali pale ulipojifanyia, Ee Bwana, ili upakae, Pale patakatifu ulipopaweka imara, Bwana, kwa mikono yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe utawaleta watu wako na kuwapanda mlimani pako; pale ulipochagua ee Mwenyezi-Mungu pawe makao yako, mahali patakatifu ee Mwenyezi-Mungu ulipojenga kwa mikono yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utawaingiza na kuwapandikiza juu ya mlima wa urithi wako: hapo mahali, Ee BWANA, ulipopafanya kuwa makao yako, mahali patakatifu, Ee BWANA, ulipopajenga kwa mikono yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utawaingiza na kuwapandikiza juu ya mlima wa urithi wako: hapo mahali, Ee bwana, ulipopafanya kuwa makao yako, mahali patakatifu, Ee bwana, ulipopajenga kwa mikono yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utawaingiza, na kuwapanda katika mlima wa urithi wako, Mahali pale ulipojifanyia, Ee BWANA, ili upakae, Pale patakatifu ulipopaweka imara, BWANA, kwa mikono yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe utawaleta watu wako na kuwapanda mlimani pako; pale ulipochagua ee Mwenyezi-Mungu pawe makao yako, mahali patakatifu ee Mwenyezi-Mungu ulipojenga kwa mikono yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Waingize na kuwapanda kwenye milima iliyo fungu lako, ulikotengeneza Kao la kukalia wewe Bwana, ililolisimika mikono yako, Bwana, kuwa Patakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utawaingiza, na kuwapanda katika mlima wa urithi wako, Mahali pale ulipojifanyia, Ee BWANA, ili upakae, Pale patakatifu ulipopaweka imara, BWANA, kwa mikono yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe utawaleta watu wako na kuwapanda juu ya mulima wako, pale ulipochagua, ee Yawe, kuwa makao yako, pahali patakatifu, ee Yawe, ulipojenga kwa mikono yako.