Exodus 15:20 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi nabii Miriamu, dada yake Aroni, akachukua kingoma mkononi, na wanawake wengine wote wakamfuata wakiwa na vingoma vyao wakicheza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Miriamu yule nabii mke, ndugu yake Haruni, akachukua matari mkononi mwake na wanawake wote wakamfuata na matari yao wakicheza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na Miriamu, nabii mke, ndugu yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi nabii Miriamu, dada yake Aroni, akachukua kingoma mkononi, na wanawake wengine wote wakamfuata wakiwa na vingoma vyao wakicheza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Miriamu yule nabii mke, ndugu yake Aroni, akachukua matari mkononi mwake na wanawake wote wakamfuata na matari yao wakicheza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Miriamu yule nabii mke, ndugu yake Haruni, akachukua matari mkononi mwake na wanawake wote wakamfuata na matari yao wakicheza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na Miriamu, nabii mwanamke, dada yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi nabii Miriamu, dada yake Aroni, akachukua kingoma mkononi, na wanawake wengine wote wakamfuata wakiwa na vingoma vyao wakicheza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mfumbuaji wa kike Miriamu, umbu lake Haroni, alipochukua patu mkononi mwake, nao wanawake wote wakatoka, wamfuate na kupiga patu na kucheza ngoma.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na Miriamu, nabii mke, ndugu yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi nabii Miriamu, dada ya Haruni, akatwaa ngoma katika mukono, na wanawake wengine wote wakamufuata wakiwa na ngoma zao ndogo wakicheza.