Exodus 15:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miriamu akawaongoza kwa kuimba, “Mwimbieni Mwenyezi-Mungu kwani ameshinda kwa fahari, farasi na mpandafarasi wake amewatosa baharini.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miriamu akawaimbia: “Mwimbieni Mwenyezi Mungu, kwa maana ametukuka sana. Farasi na mpanda farasi amewatosa baharini.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Miriamu akawaitikia,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miriamu akawaongoza kwa kuimba, “Mwimbieni Mwenyezi-Mungu kwani ameshinda kwa fahari, farasi na mpandafarasi wake amewatosa baharini.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miriamu akawaimbia: “Mwimbieni BWANA, kwa maana ametukuka sana. Farasi na mpanda farasi amewatosa baharini.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miriamu akawaimbia: “Mwimbieni bwana, kwa maana ametukuka sana. Farasi na mpanda farasi amewatosa baharini.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Miriamu akawaitikia, Mwimbieni BWANA kwa maana ametukuka sana; Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miriamu akawaongoza kwa kuimba, “Mwimbieni Mwenyezi-Mungu kwani ameshinda kwa fahari, farasi na mpandafarasi wake amewatosa baharini.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Miriamu akawaitikia kwamba: Mwimbieni Bwana! Kwani ni mtukufu mno, Farasi pamoja nao waliowapanda amewatosa baharini!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Miriamu akawaitikia, Mwimbieni BWANA kwa maana ametukuka sana; Farasi na mpanda farasi amewatupa baharini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miriamu akawaongoza kwa kuimba: “Mumwimbie Yawe maana ameshinda kwa utukufu. Farasi na mupanda-farasi wake amewatupa ndani ya bahari.”