Exodus 15:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, watu wote wakamlalamikia Mose wakisema, “Sasa tutakunywa nini?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo watu wakamnung’unikia Musa, wakisema, “Tunywe nini?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo watu wakamnung'unikia Musa, wakisema, Tunywe nini?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, watu wote wakamlalamikia Mose wakisema, “Sasa tutakunywa nini?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo watu wakamnung'unikia Mose, wakisema, “Tunywe nini?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo watu wakamnung’unikia Musa, wakisema, “Tunywe nini?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo watu wakamnung'unikia Musa, wakisema, Tunywe nini?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, watu wote wakamlalamikia Mose wakisema, “Sasa tutakunywa nini?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, watu walipomnung'unikia Mose kwamba: Tunywe nini?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo watu wakamnung’unikia Musa, wakisema, Tunywe nini?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, watu wote wakamunungunikia Musa wakisema: “Sasa tutakunywa nini?”