Exodus 15:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu ni shujaa vitani; Mwenyezi-Mungu ndilo jina lake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu ni shujaa wa vita; Mwenyezi Mungu ndilo jina lake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana ni mtu wa vita, Bwana ndilo jina lake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu ni shujaa vitani; Mwenyezi-Mungu ndilo jina lake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA ni shujaa wa vita; BWANA ndilo jina lake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana ni shujaa wa vita; bwana ndilo jina lake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA ni mtu wa vita, BWANA ndilo jina lake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu ni shujaa vitani; Mwenyezi-Mungu ndilo jina lake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana ni mpiga vita, Bwana ni Jina lake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA ni mtu wa vita, BWANA ndilo jina lake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni shujaa kwa vita; Yawe ndilo jina lake.