Exodus 15:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
“Mkono wako wa kulia ee Mwenyezi-Mungu watukuka kwa nguvu; kwa mkono wako wa kulia ee Mwenyezi-Mungu wawaponda adui.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mkono wako wa kuume, Ee Mwenyezi Mungu ulitukuka kwa uweza. Mkono wako wa kuume, Ee Mwenyezi Mungu, ukamponda adui.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, mkono wako wa kuume umepata fahari ya uwezo, Bwana, mkono wako wa kuume wawaseta-seta adui.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
“Mkono wako wa kulia ee Mwenyezi-Mungu watukuka kwa nguvu; kwa mkono wako wa kulia ee Mwenyezi-Mungu wawaponda adui.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
“Mkono wako wa kuume, Ee BWANA ulitukuka kwa uweza. Mkono wako wa kuume, Ee BWANA, ukamponda adui.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
“Mkono wako wa kuume, Ee bwana ulitukuka kwa uweza. Mkono wako wa kuume, Ee bwana, ukamponda adui.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, mkono wako wa kulia umepata fahari ya uwezo, BWANA, mkono wako wa kulia wawasetaseta adui.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
“Mkono wako wa kulia ee Mwenyezi-Mungu watukuka kwa nguvu; kwa mkono wako wa kulia ee Mwenyezi-Mungu wawaponda adui.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkono wako wa kuume, Bwana, hutukuka kwa nguvu, unazozifanya, mkono wako wa kuume, Bwana, huwaponda adui.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, mkono wako wa kuume umepata fahari ya uwezo, BWANA, mkono wako wa kuume wawaseta-seta adui.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
“Mukono wako wa kuume, ee Yawe, unatukuka kwa nguvu; kwa mukono wako wa kuume, ee Yawe, unawaponda waadui.