Exodus 15:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa pumzi ya pua yako maji yalirundikana, mawimbi yakasimama wima kama ukuta; vilindi katikati ya bahari vikagandamana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa pumzi ya pua yako maji yalijilundika. Mawimbi ya maji yakasimama imara kama ukuta, vilindi vikagandamana ndani ya moyo wa bahari.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa upepo wa mianzi ya pua yako maji yalipandishwa, Mawimbi yakasimama juu wima mfano wa chungu, Vilindi vikagandamana ndani ya moyo wa bahari.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa pumzi ya pua yako maji yalirundikana, mawimbi yakasimama wima kama ukuta; vilindi katikati ya bahari vikagandamana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa pumzi ya pua zako maji yalijilundika. Mawimbi ya maji yakasimama imara kama ukuta, vilindi vikagandamana ndani ya moyo wa bahari.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa pumzi ya pua zako maji yalijilundika. Mawimbi ya maji yakasimama imara kama ukuta, vilindi vikagandamana ndani ya moyo wa bahari.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa upepo wa mianzi ya pua yako maji yalipandishwa, Mawimbi yakasimama juu wima mfano wa kilima, Vilindi vikagandamana katikati ya bahari.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa pumzi ya pua yako maji yalirundikana, mawimbi yakasimama wima kama ukuta; vilindi katikati ya bahari vikagandamana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kufoka kwa pua yako maji yakakwezwa juu, mawimbi yakasimama, kama yamo chunguni. vilindi vikaganda moyoni mwa bahari.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa upepo wa mianzi ya pua yako maji yalipandishwa, Mawimbi yakasimama juu wima mfano wa chungu, Vilindi vikagandamana ndani ya moyo wa bahari.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa pumzi ya pua yako maji yalilundikana, mawimbi yakasimama wima kama ukuta; vilindi katikati ya bahari vikagandamana.