Exodus 16:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Waisraeli wakafanya hivyo, na ikawa kwamba, wengine waliokota kwa wingi na wengine kidogo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waisraeli wakafanya kama walivyoambiwa; baadhi yao wakakusanya zaidi, wengine pungufu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wana wa Israeli wakafanya hivyo, wakaokota wengine zaidi, wengine kupungua.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Waisraeli wakafanya hivyo, na ikawa kwamba, wengine waliokota kwa wingi na wengine kidogo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waisraeli wakafanya kama walivyoambiwa, baadhi yao wakakusanya zaidi, wengine pungufu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waisraeli wakafanya kama walivyoambiwa, baadhi yao wakakusanya zaidi, wengine pungufu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wana wa Israeli wakafanya hivyo, wakaokota wengine zaidi, wengine kupungua.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Waisraeli wakafanya hivyo, na ikawa kwamba, wengine waliokota kwa wingi na wengine kidogo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wana wa Isiraeli wakafanya hivyo, wakaokota mmoja nyingi, mmoja chache,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wana wa Israeli wakafanya hivyo, wakaokota wengine zaidi, wengine kupungua.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Waisraeli wakafanya hivyo na ikakuwa kwamba wengine waliokota kwa wingi na wengine kidogo.