Exodus 16:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose akawaambia watu, “Mtu yeyote asibakize chakula hicho mpaka asubuhi.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa akawaambia, “Mtu yeyote asibakize chochote hadi asubuhi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akawaambia, Mtu awaye yote asikisaze hata asubuhi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose akawaambia watu, “Mtu yeyote asibakize chakula hicho mpaka asubuhi.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Mose akawaambia, “Mtu ye yote asibakize cho chote mpaka asubuhi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Musa akawaambia, “Mtu yeyote asibakize chochote mpaka asubuhi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akawaambia, Mtu awaye yote asikisaze hata asubuhi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose akawaambia watu, “Mtu yeyote asibakize chakula hicho mpaka asubuhi.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akawaambia: Mtu asisaze za kesho!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akawaambia, Mtu awaye yote asikisaze hata asubuhi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akawaambia watu: “Mutu yeyote asiache chakula hicho mpaka asubui.”