Exodus 16:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, jumuiya yote ya Waisraeli ikawalalamikia Mose na Aroni huko jangwani,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Huko jangwani, jumuiya yote wakawanung’unikia Musa na Haruni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na mkutano mzima wa wana wa Israeli ukawanung'unikia Musa na Haruni, huko barani;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, jumuiya yote ya Waisraeli ikawalalamikia Mose na Aroni huko jangwani,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Huko jangwani hiyo jumuiya yote ikamnung'unikia Mose na Aroni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Huko jangwani hiyo jumuiya yote wakawanung’unikia Musa na Haruni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na mkutano mzima wa wana wa Israeli ukawanung'unikia Musa na Haruni, huko barani;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, jumuiya yote ya Waisraeli ikawalalamikia Mose na Aroni huko jangwani,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Huko nyikani wao wote wa mkutano wa wana wa Isiraeli wakamnung'unikia Mose na Haroni,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na mkutano mzima wa wana wa Israeli ukawanung’unikia Musa na Haruni, huko barani;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Waisraeli wote pamoja wakamunungunikia Musa na Haruni kule katika jangwa. Wakasema hivi: