Exodus 16:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wakafanya hivyo na kukiacha chakula kingine mpaka kesho yake kama Mose alivyosema. Asubuhi yake waliona kwamba hakikuharibika wala kuwa na mabuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo wakavihifadhi hadi asubuhi, kama Musa alivyoagiza, na havikunuka wala kuwa na mabuu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi wakakiweka hata asubuhi, kama Musa alivyowaagiza; nacho hakikutoa uvundo wala kuingia mabuu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wakafanya hivyo na kukiacha chakula kingine mpaka kesho yake kama Mose alivyosema. Asubuhi yake waliona kwamba hakikuharibika wala kuwa na mabuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo wakavihifadhi mpaka asubuhi, kama Mose alivyoagiza, na havikunuka wala kuwa na mabuu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo wakavihifadhi mpaka asubuhi, kama Musa alivyoagiza, na havikunuka wala kuwa na mabuu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi wakakiweka hata asubuhi, kama Musa alivyowaagiza; nacho hakikutoa uvundo wala kuingia mabuu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wakafanya hivyo na kukiacha chakula kingine mpaka kesho yake kama Mose alivyosema. Asubuhi yake waliona kwamba hakikuharibika wala kuwa na mabuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walipoziweka za kesho, kama Mose alivyowaagiza, kuzikunuka vibaya, wala hazikupata funyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi wakakiweka hata asubuhi, kama Musa alivyowaagiza; nacho hakikutoa uvundo wala kuingia mabuu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, wakafanya hivyo na kuacha chakula kingine mpaka kesho yake kama vile Musa alivyosema. Asubui yake waliona kwamba hakikuharibika wala kuwa na vidudu.