Exodus 16:25 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose akawaambia, “Kuleni chakula hicho kilichosalia kwa sababu leo ni Sabato ya Mwenyezi-Mungu. Leo hamtapata chakula huko nje.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akawaambia, “Kuleni leo, kwa sababu leo ni Sabato kwa Mwenyezi Mungu. Hamtapata chochote juu ya nchi leo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akasema, Haya, kuleni hiki leo; kwa kuwa leo ni Sabato ya Bwana; leo hamtakiona nje barani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose akawaambia, “Kuleni chakula hicho kilichosalia kwa sababu leo ni Sabato ya Mwenyezi-Mungu. Leo hamtapata chakula huko nje.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akawaambia, “Kuleni leo, kwa sababu leo ni Sabato kwa BWANA. Hamtapata cho chote juu ya nchi leo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akawaambia, “Kuleni leo, kwa sababu leo ni Sabato kwa bwana. Hamtapata chochote juu ya nchi leo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akasema, Haya, kuleni hiki leo; kwa kuwa leo ni Sabato ya BWANA; leo hamtakiona nje barani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose akawaambia, “Kuleni chakula hicho kilichosalia kwa sababu leo ni Sabato ya Mwenyezi-Mungu. Leo hamtapata chakula huko nje.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akawaambia: Zileni leo! Kwani leo ni siku ya mapumziko ya Bwana, leo hamtaziona nje nyikani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akasema, Haya, kuleni hiki leo; kwa kuwa leo ni Sabato ya BWANA; leo hamtakiona nje barani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa akawaambia: “Mukule chakula hicho kilichobakia kwa sababu leo ni Sabato ya Yawe. Leo hamutapata chakula kule inje.