Exodus 16:26 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa siku sita mtakuwa mkikusanya chakula hiki, lakini siku ya saba ambayo ni Sabato hakitakuwapo.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa siku sita mtakusanya, lakini siku ya saba, yaani Sabato, hakutakuwa chochote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Siku sita mtaokota; lakini siku ya saba ni Sabato, siku hiyo hakitapatikana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa siku sita mtakuwa mkikusanya chakula hiki, lakini siku ya saba ambayo ni Sabato hakitakuwapo.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa siku sita mtakusanya, lakini siku ya saba, yaani Sabato, hakutakuwepo cho chote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa siku sita mtakusanya, lakini siku ya saba, yaani Sabato, hakutakuwepo chochote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Siku sita mtaokota; lakini siku ya saba ni Sabato, siku hiyo hakitapatikana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa siku sita mtakuwa mkikusanya chakula hiki, lakini siku ya saba ambayo ni Sabato hakitakuwapo.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku sita mtaziokota, lakini siku ya saba ni ya mapumziko, haziko.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Siku sita mtaokota; lakini siku ya saba ni Sabato, siku hiyo hakitapatikana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa siku sita mutakuwa mukikusanya chakula hiki, lakini siku ya saba ambayo ni Sabato hakitakuwa.”