Exodus 16:27 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mnamo siku ya saba watu kadhaa walitoka kwenda kutafuta chakula, lakini hawakukipata.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hata hivyo, baadhi ya watu wakatoka kwenda kukusanya siku ya saba, lakini hawakupata chochote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ikawa siku ya saba wengine wakatoka kwenda kukiokota, wasikione.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mnamo siku ya saba watu kadhaa walitoka kwenda kutafuta chakula, lakini hawakukipata.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hata hivyo, baadhi ya watu wakatoka kwenda kukusanya siku ya saba, lakini hawakupata cho chote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hata hivyo, baadhi ya watu wakatoka kwenda kukusanya siku ya saba, lakini hawakupata chochote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ikawa siku ya saba wengine wakatoka kwenda kukiokota, wasikione.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mnamo siku ya saba watu kadhaa walitoka kwenda kutafuta chakula, lakini hawakukipata.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengine walipotoka siku ya saba kuziokota, hawakuziona.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ikawa siku ya saba wengine wakatoka kwenda kukiokota, wasikione.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa siku ya saba watu wamoja walitoka kwenda kutafuta chakula, lakini hawakukipata.