Exodus 16:34 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Aroni akaiweka mana mahali patakatifu mbele ya sanduku la agano ili ihifadhiwe kama vile Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza Musa, hatimaye Haruni aliiweka ile mana ndani ya Sanduku la Ushuhuda ili aweze kuihifadhi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kama vile Bwana alivyomwagizia Musa ndivyo Haruni alivyoiweka hapo mbele ya Ushahidi, ili ilindwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Aroni akaiweka mana mahali patakatifu mbele ya sanduku la agano ili ihifadhiwe kama vile Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama BWANA alivyomwagiza Mose, hatimaye Aroni alikuja kuihifadhi ndani ya Sanduku la Ushuhuda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama bwana alivyomwagiza Musa, hatimaye Haruni alikuja kuihifadhi ndani ya Sanduku la Ushuhuda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kama vile BWANA alivyomwagizia Musa ndivyo Haruni alivyoiweka hapo mbele ya Ushahidi, ili ilindwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Aroni akaiweka mana mahali patakatifu mbele ya sanduku la agano ili ihifadhiwe kama vile Mwenyezi-Mungu alivyomwagiza Mose.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama Bwana alivyomwagiza Mose, ndivyo, Haroni alivyokiweka mbele ya Sanduku la Ushahidi, kiangaliwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kama vile BWANA alivyomwagizia Musa ndivyo Haruni alivyoiweka hapo mbele ya Ushahidi, ili ilindwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Haruni aliweka mana Pahali Patakatifu mbele ya Sunduku la Agano kusudi ilindwe kama vile Yawe alivyomwagiza Musa.