Exodus 16:36 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Posho ya mana, kiasi cha pishi nne, ilikuwa sehemu ya kumi ya kipimo cha kawaida kiitwacho efa.)
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
(Pishi moja ni sehemu ya kumi ya kipimo cha efa.)
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hiyo omeri ni sehemu kumi ya efa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
(Posho ya mana, kiasi cha pishi nne, ilikuwa sehemu ya kumi ya kipimo cha kawaida kiitwacho efa.)
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Pishi moja ni sehemu ya kumi ya kipimo cha efa.)
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
(Pishi moja ni sehemu ya kumi ya kipimo cha efa.)
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hiyo omeri ni sehemu kumi ya efa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
(Posho ya mana, kiasi cha pishi nne, ilikuwa sehemu ya kumi ya kipimo cha kawaida kiitwacho efa.)
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nacho kile kisaga kilipopimwa kwa mizani kilikuwa fungu la kumi la frasila.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hiyo omeri ni sehemu kumi ya efa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
(Posho ya mana ilikuwa sehemu ya kumi ya kipimo cha kawaida kinachoitwa efa.)