Exodus 16:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, Mose na Aroni wakawaambia watu wote wa Israeli, “Jioni, mtatambua kwamba Mwenyezi-Mungu ndiye aliyewatoa nchini Misri!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa hiyo Musa na Haruni wakawaambia Waisraeli wote, “Jioni mtajua kuwa Mwenyezi Mungu ndiye aliwatoa Misri,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa na Haruni wakawaambia wana wote wa Israeli, Jioni ndipo mtakapojua ya kuwa Bwana amewaleta kutoka nchi ya Misri;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, Mose na Aroni wakawaambia watu wote wa Israeli, “Jioni, mtatambua kwamba Mwenyezi-Mungu ndiye aliyewatoa nchini Misri!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa hiyo Mose na Aroni wakawaambia Waisraeli wote, “Jioni mtajua kwamba BWANA ndiye aliyewatoa katika Misri,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa hiyo Musa na Haruni wakawaambia Waisraeli wote, “Jioni mtajua kwamba bwana ndiye aliwatoa Misri,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa na Haruni wakawaambia wana wote wa Israeli, Jioni ndipo mtakapojua ya kuwa BWANA amewaleta kutoka nchi ya Misri;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, Mose na Aroni wakawaambia watu wote wa Israeli, “Jioni, mtatambua kwamba Mwenyezi-Mungu ndiye aliyewatoa nchini Misri!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose na Haroni wakawaambia wana wote wa Isiraeli: Jioni na mjue, ya kuwa ndiye Bwana aliyewatoa ninyi katika nchi ya Misri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa na Haruni wakawaambia wana wote wa Israeli, Jioni ndipo mtakapojua ya kuwa BWANA amewaleta kutoka nchi ya Misri;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, Musa na Haruni wakawaambia watu wote wa Israeli: “Magaribi, mutatambua kwamba Yawe ndiye aliyewatoa katika inchi ya Misri!