Exodus 16:7 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tena, kesho asubuhi, mtauona utukufu wa Mwenyezi-Mungu kwani ameyasikia manunguniko mliyomnungunikia. Sisi ni nani hata mtunungunikie?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
kisha asubuhi mtauona utukufu wa Mwenyezi Mungu, kwa sababu amesikia manung’uniko yenu dhidi yake. Sisi ni nani hata mtunung’unikie?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
na asubuhi ndipo mtakapouona utukufu wa Bwana; kwa kuwa yeye asikia manung'uniko yenu mliyomnung'unikia Bwana; na sisi tu nani, hata mkatunung'unikia?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tena, kesho asubuhi, mtauona utukufu wa Mwenyezi-Mungu kwani ameyasikia manung'uniko mliyomnung'unikia. Sisi ni nani hata mtunung'unikie?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
kisha asubuhi mtauona utukufu wa BWANA, kwa sababu amesikia manung'uniko yenu dhidi yake. Sisi ni nani hata mtunung'unikie?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
kisha asubuhi mtauona utukufu wa bwana, kwa sababu amesikia manung’uniko yenu dhidi yake. Sisi ni nani hata mtunung’unikie?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
na asubuhi ndipo mtakapouona utukufu wa BWANA; kwa kuwa yeye husikia manung'uniko yenu mliyomnung'unikia BWANA; na sisi tu nani, hata mkatunung'unikia?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tena, kesho asubuhi, mtauona utukufu wa Mwenyezi-Mungu kwani ameyasikia manunguniko mliyomnungunikia. Sisi ni nani hata mtunungunikie?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena asubuhi na mwuone utukufu wa Bwana, kwani amesikia, mlivyomnung'unikia yeye Bwana; maana sisi tu watu gani, mkitunung'unkia?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
na asubuhi ndipo mtakapouona utukufu wa BWANA; kwa kuwa yeye asikia manung’uniko yenu mliyomnung’unikia BWANA; na sisi tu nani, hata mkatunung’unikia?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tena, kesho asubui mutaona utukufu wa Yawe maana ameyasikia manunguniko muliyomunungunikia. Sisi ni nani hata mutunungunikie?”