Exodus 16:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Mose akamwambia Aroni, “Iambie jumuiya yote ya Waisraeli ikusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu kwani ameyasikia manunguniko yenu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Musa akamwambia Haruni, “Iambie jumuiya yote ya Waisraeli kwamba, ‘Mje mbele zake Mwenyezi Mungu, kwa maana amesikia manung’uniko yenu.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Musa akamwambia Haruni, Haya, sema na mkutano wote wa wana wa Israeli, Njoni karibu mbele ya Bwana; kwa kuwa yeye ameyasikia manung'uniko yenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Mose akamwambia Aroni, “Iambie jumuiya yote ya Waisraeli ikusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu kwani ameyasikia manung'uniko yenu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Mose akamwambia Aroni, “Iambie jumuiya yote ya Waisraeli kwamba, ‘Mje mbele zake BWANA, kwa maana amesikia manung'uniko yenu.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Musa akamwambia Haruni, “Iambie jumuiya yote ya Waisraeli kwamba, ‘Mje mbele zake bwana, kwa maana amesikia manung’uniko yenu.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Musa akamwambia Haruni, Haya, sema na mkutano wote wa wana wa Israeli, Njoni karibu mbele za BWANA; kwa kuwa yeye ameyasikia manung'uniko yenu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Mose akamwambia Aroni, “Iambie jumuiya yote ya Waisraeli ikusanyike mbele ya Mwenyezi-Mungu kwani ameyasikia manunguniko yenu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Mose akamwambia Haroni: Waambie wao wote wa mkutano wa wana wa Isiraeli: Njoni kumtokea Bwana! Kwani ameyasikia manung'uniko yenu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Musa akamwambia Haruni, Haya, sema na mkutano wote wa wana wa Israeli, Njoni karibu mbele ya BWANA; kwa kuwa yeye ameyasikia manung’uniko yenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Musa akamwambia Haruni: “Uwaambie Waisraeli wote wakusanyike mbele ya Yawe, maana ameyasikia manunguniko yao.”