Exodus 17:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
akisema, “Inueni juu bendera ya Mwenyezi-Mungu! Mwenyezi-Mungu atapigana na Waamaleki kizazi hata kizazi!”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akasema, “Kwa maana mikono iliinuliwa dhidi ya kiti cha enzi cha Mwenyezi Mungu, sasa Mwenyezi Mungu atakuwa na vita dhidi ya Waamaleki kizazi hadi kizazi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
akasema, Bwana ameapa; Bwana atakuwa na vita na Amaleki kizazi baada ya kizazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
akisema, “Inueni juu bendera ya Mwenyezi-Mungu! Mwenyezi-Mungu atapigana na Waamaleki kizazi hata kizazi!”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akasema, “Kwa maana mikono iliinuliwa mpaka kwenye kiti cha enzi cha BWANA. BWANA atakuwa na vita dhidi ya Waamaleki kutoka kizazi hata kizazi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akasema, “Kwa maana mikono iliinuliwa mpaka kwenye kiti cha enzi cha bwana. bwana atakuwa na vita dhidi ya Waamaleki kutoka kizazi hata kizazi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
akasema, BWANA ameapa; BWANA atakuwa na vita na Amaleki kizazi baada ya kizazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
akisema, “Inueni juu bendera ya Mwenyezi-Mungu! Mwenyezi-Mungu atapigana na Waamaleki kizazi hata kizazi!”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani alisema: Bwana ameuweka mkono penye bendera kwamba: Bwana atapiga vita na Waamaleki kwa vizazi na vizazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
akasema, BWANA ameapa; BWANA atakuwa na vita na Amaleki kizazi baada ya kizazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
akisema: “Muinue juu bendera ya Yawe! Yawe atapigana na Waamaleki kizazi kwa kizazi!”