Exodus 18:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yethro, kuhani wa Midiani, baba mkwe wa Mose, alisikia juu ya mambo yote ambayo Mwenyezi-Mungu alimtendea Mose na Waisraeli alipowatoa katika nchi ya Misri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi Yethro, kuhani wa Midiani, baba mkwe wa Musa, akawa amesikia kila kitu Mungu alichomfanyia Musa na watu wake wa Israeli, pia jinsi Mwenyezi Mungu alivyowatoa Israeli Misri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Yethro, kuhani wa Midiani, mkwewe Musa, alisikia habari ya mambo hayo yote Mungu aliyokuwa amemtendea Musa, na Waisraeli watu wake, jinsi Bwana alivyowaleta Israeli watoke Misri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yethro, kuhani wa Midiani, baba mkwe wa Mose, alisikia juu ya mambo yote ambayo Mwenyezi-Mungu alimtendea Mose na Waisraeli alipowatoa katika nchi ya Misri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi Yethro, kuhani wa Midiani, baba mkwe wa Mose, akawa amesikia kila kitu Mungu alichomfanyia Mose na watu wake wa Israeli, pia jinsi BWANA alivyowatoa Israeli Misri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi Yethro, kuhani wa Midiani, baba mkwe wa Musa, akawa amesikia kila kitu Mungu alichomfanyia Musa na watu wake wa Israeli, pia jinsi bwana alivyowatoa Israeli Misri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Yethro, kuhani wa Midiani, mkwewe Musa, alisikia habari ya mambo hayo yote Mungu aliyokuwa amemtendea Musa, na Waisraeli watu wake, jinsi BWANA alivyowaleta Israeli watoke Misri.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yethro, kuhani wa Midiani, baba mkwe wa Mose, alisikia juu ya mambo yote ambayo Mwenyezi-Mungu alimtendea Mose na Waisraeli alipowatoa katika nchi ya Misri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yetoro, mtambikaji wa Midiani, aliyekuwa mkwewe Mose, alipoyasikia yote, Mungu aliyomfanyizia Mose nao ukoo wake wa Waisiraeli, ya kuwa Bwana aliwatoa Waisiraeli huko Misri,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Yethro, kuhani wa Midiani, mkwewe Musa, alisikia habari ya mambo hayo yote Mungu aliyokuwa amemtendea Musa, na Waisraeli watu wake, jinsi BWANA alivyowaleta Israeli watoke Misri.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yetro, kuhani wa Midiani, baba mukwe wa Musa, alisikia juu ya mambo yote ambayo Yawe alimutendea Musa na Waisraeli alipowatoa katika inchi ya Misri.