Exodus 18:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kesho yake, Mose aliketi kuamua matatizo ya Waisraeli, nao wakasimama wakiwa wamemzunguka, tangu asubuhi mpaka jioni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Siku iliyofuata, Musa akachukua nafasi yake kama hakimu wa watu, nao wakasimama kumzunguka kuanzia asubuhi hadi jioni.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asubuhi yake Musa akaketi ili awapishie hukumu watu; na hao watu wakasimama kumzunguka Musa tangu asubuhi hata jioni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kesho yake, Mose aliketi kuamua matatizo ya Waisraeli, nao wakasimama wakiwa wamemzunguka, tangu asubuhi mpaka jioni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Siku iliyofuata, Mose akachukua nafasi yake kama hakimu wa watu, nao wakasimama kumzunguka kuanzia asubuhi hadi jioni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Siku iliyofuata, Musa akachukua nafasi yake kama hakimu wa watu, nao wakasimama kumzunguka kuanzia asubuhi hadi jioni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asubuhi yake Musa akaketi ili awaapishie hukumu watu; na hao watu wakasimama kumzunguka Musa tangu asubuhi hata jioni.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kesho yake, Mose aliketi kuamua matatizo ya Waisraeli, nao wakasimama wakiwa wamemzunguka, tangu asubuhi mpaka jioni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kesho yake asubuhi Mose akakaa kuwaamua watu, nao watu wakasimama kwake Mose toka asubuhi hata jioni.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asubuhi yake Musa akaketi ili awapishie hukumu watu; na hao watu wakasimama kumzunguka Musa tangu asubuhi hata jioni.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kesho yake, Musa akaikaa kwa kuamua matatizo ya Waisraeli, nao wakasimama wakiwa wamemuzunguka, tangu asubui mpaka magaribi.