Exodus 18:14 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yethro, baba mkwe wa Mose, alipoyaona mambo yote ambayo Mose aliwafanyia Waisraeli, alimwuliza, “Kwa nini unawafanyia watu mambo haya? Mbona unaketi peke yako huku watu wamekuzunguka tangu asubuhi mpaka jioni?”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Baba mkwe wake alipoona yote Musa anayowafanyia watu, akasema, “Ni nini hiki unachowafanyia watu? Kwa nini wewe unakuwa mwamuzi wa watu hawa peke yako, wakati watu hawa wamesimama wakikuzunguka tangu asubuhi hadi jioni?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mkwewe Musa alipoyaona yote aliyowafanyia watu, akasema, Ni jambo gani hili uwatendealo hao watu? Kwani wewe kuketi hapo peke yako, na watu wote kusimama kwako tangu asubuhi hata jioni?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yethro, baba mkwe wa Mose, alipoyaona mambo yote ambayo Mose aliwafanyia Waisraeli, alimwuliza, “Kwa nini unawafanyia watu mambo haya? Mbona unaketi peke yako huku watu wamekuzunguka tangu asubuhi mpaka jioni?”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Baba mkwe wake alipoona yote Mose anayowafanyia watu, akasema, “Ni nini hiki unachowafanyia watu? Kwa nini wewe unakuwa mwamuzi wa watu hawa peke yako, wakati watu hawa wamesimama wakikuzunguka tangu asubuhi mpaka jioni?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Baba mkwe wake alipoona yote Musa anayowafanyia watu, akasema, “Ni nini hiki unachowafanyia watu? Kwa nini wewe unakuwa mwamuzi wa watu hawa peke yako, wakati watu hawa wamesimama wakikuzunguka tangu asubuhi mpaka jioni?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mkwewe Musa alipoyaona yote aliyowafanyia watu, akasema, Ni jambo gani hili uwatendealo hao watu? Kwani wewe kuketi hapo peke yako, na watu wote kusimama kwako tangu asubuhi hata jioni?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yethro, baba mkwe wa Mose, alipoyaona mambo yote ambayo Mose aliwafanyia Waisraeli, alimwuliza, “Kwa nini unawafanyia watu mambo haya? Mbona unaketi peke yako huku watu wamekuzunguka tangu asubuhi mpaka jioni?”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mkwewe Mose alipoyaona yote, aliyowafanyia watu, akasema: Hili jambo linakuwaje, ukijisumbua hivyo na hawa watu? Mbona wewe unakaa peke yako, nao hawa watu wanasimama kwako toka asubuhi hata jioni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mkwewe Musa alipoyaona yote aliyowafanyia watu, akasema, Ni jambo gani hili uwatendealo hao watu? Kwani wewe kuketi hapo peke yako, na watu wote kusimama kwako tangu asubuhi hata jioni?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yetro, baba mukwe wa Musa, alipoona mambo yote ambayo Musa aliwafanyia Waisraeli, akamwuliza: “Kwa nini unawafanyia watu mambo haya? Mbona unaikaa peke yako wakati watu wamekuzunguka tangu asubui mpaka magaribi?”