Exodus 18:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakiwa na ugomvi wowote ule wao huja kwangu nami huamua kati ya mtu na mwenzake, na kuwafunza amri za Mungu na maamuzi yake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kila wakiwa na shauri huletwa kwangu, nami huamua kati ya mtu na mwenzake, na kuwaeleza hukumu na sheria zake Mungu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakiwa na neno, hunijilia; nami naamua kati ya mtu na mwenziwe, nami nawajuvisha amri za Mungu, na sheria zake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakiwa na ugomvi wowote ule wao huja kwangu nami huamua kati ya mtu na mwenzake, na kuwafunza amri za Mungu na maamuzi yake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kila wakiwa na shauri huletwa kwangu, nami huamua kati ya mtu na mwenzake na kuwajulisha juu ya amri na sheria za Mungu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kila wakiwa na shauri huletwa kwangu, nami huamua kati ya mtu na mwenzake na kuwajulisha juu ya amri na sheria za Mungu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakiwa na neno, hunijia; nami naamua kati ya mtu na mwenziwe, nami nawajulisha amri za Mungu, na sheria zake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakiwa na ugomvi wowote ule wao huja kwangu nami huamua kati ya mtu na mwenzake, na kuwafunza amri za Mungu na maamuzi yake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakipatwa na shauri huja kwangu, niwaamue wao kwa wao na kuwajulisha maongozi ya Mungu na maonyo yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakiwa na neno, hunijilia; nami naamua kati ya mtu na mwenziwe, nami nawajuvisha amri za Mungu, na sheria zake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wakiwa na ugomvi wowote wao wanakuja kwangu nami ninaamua kati ya mutu na mwenzake na kuwafundisha masharti ya Mungu na maamuzi yake.”