Exodus 18:19 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Sikiliza shauri langu kwako, na Mungu awe pamoja nawe. Wewe utawawakilisha watu mbele ya Mungu na kumletea Mungu matatizo yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa nisikilize mimi, nitakupa ushauri, naye Mungu na awe pamoja nawe. Yapasa wewe uwe mwakilishi wa watu mbele za Mungu na ulete mashauri yao kwake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Sikiza sasa neno langu, nitakupa shauri, na Mungu na awe pamoja nawe; uwe wewe kwa ajili ya watu mbele ya Mungu, nawe umletee Mungu maneno yao;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Sikiliza shauri langu kwako, na Mungu awe pamoja nawe. Wewe utawawakilisha watu mbele ya Mungu na kumletea Mungu matatizo yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa nisikilize mimi, nitakupa shauri, naye Mungu na awe pamoja nawe. Yapasa wewe uwe mwakilishi wa watu mbele za Mungu na ulete mashauri yao kwake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa nisikilize mimi, nitakupa shauri, naye Mungu na awe pamoja nawe. Yapasa wewe uwe mwakilishi wa watu mbele za Mungu na ulete mashauri yao kwake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Sikiliza sasa neno langu, nitakupa shauri, na Mungu na awe pamoja nawe; wewe uwe kwa ajili ya watu mbele ya Mungu, nawe umletee Mungu maneno yao;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Sikiliza shauri langu kwako, na Mungu awe pamoja nawe. Wewe utawawakilisha watu mbele ya Mungu na kumletea Mungu matatizo yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa isikie sauti yangu, nikupe shauri, naye Mungu na awe pamoja na wewe! Wewe wasemee watu mbele ya Mungu na kuyapeleka mashauri yao kwake Mungu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Sikiza sasa neno langu, nitakupa shauri, na Mungu na awe pamoja nawe; uwe wewe kwa ajili ya watu mbele ya Mungu, nawe umletee Mungu maneno yao;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Sikiliza shauri langu kwako na Mungu akuwe pamoja nawe. Wewe utawasimamia watu mbele ya Mungu na kumuletea Mungu matatizo yao.