Exodus 18:23 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukifanya hivyo, na kama ndivyo atakavyo Mungu, utaweza kustahimili na watu hawa wote wataweza kurudi makwao kwa amani.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ukifanya hivi, na ikiwa Mungu ameagiza hivyo, utaweza kushinda uchovu, nao watu hawa wote watarudi nyumbani wameridhika.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwamba utafanya jambo hili, na Mungu akikuagiza hivyo, basi utaweza kusimama wewe, na watu hawa wote nao watakwenda mahali pao kwa amani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukifanya hivyo, na kama ndivyo atakavyo Mungu, utaweza kustahimili na watu hawa wote wataweza kurudi makwao kwa amani.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kama ukifanya hivi, na ikiwa Mungu ameagiza hivyo, utaweza kushinda uchovu, nao watu hawa wote watarudi nyumbani wameridhika.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kama ukifanya hivi, na ikiwa Mungu ameagiza hivyo, utaweza kushinda uchovu, nao watu hawa wote watarudi nyumbani wameridhika.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwamba utafanya jambo hili, na Mungu akikuagiza hivyo, basi utaweza kusimama wewe, na watu hawa wote nao watakwenda mahali pao kwa amani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukifanya hivyo, na kama ndivyo atakavyo Mungu, utaweza kustahimili na watu hawa wote wataweza kurudi makwao kwa amani.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukivifanya hivyo, naye Mungu akikuagiza hivyo, wewe utaweza kujitunza, nao watu hawa wote wataweza kwenda zao na kutengemana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwamba utafanya jambo hili, na Mungu akikuagiza hivyo, basi utaweza kusimama wewe, na watu hawa wote nao watakwenda mahali pao kwa amani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ukifanya hivyo na kama ndivyo Mungu anavyotaka, utaweza kuvumilia na watu hawa wote wataweza kurudi kwao kwa amani.”