Exodus 18:24 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mose alilisikiliza shauri hilo la mkwewe na kufanya kama alivyoshauriwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Musa akamsikiliza baba mkwe wake na kufanya kila kitu alichosema.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Musa akasikiza neno la mkwewe, akayafanya yote aliyokuwa amemwambia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mose alilisikiliza shauri hilo la mkwewe na kufanya kama alivyoshauriwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mose akamsikiliza baba mkwe wake na kufanya kila kitu alichosema.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Musa akamsikiliza baba mkwe wake na kufanya kila kitu alichosema.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Musa akalisikiliza neno la mkwewe, akayafanya yote aliyokuwa amemwambia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mose alilisikiliza shauri hilo la mkwewe na kufanya kama alivyoshauriwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mose akaisikia sauti ya mkwewe, akayafanya yote, aliyoyasema.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Musa akasikiza neno la mkwewe, akayafanya yote aliyokuwa amemwambia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Musa akasikiliza shauri lile la baba mukwe wake na kufanya kama vile alivyoshauriwa.